Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Cjambo hbr ya ckuTumosa mzima?
Cjambo hbr ya ckuTumosa mzima?
Wapo majukumu yamewabanaWapi wadau? Shululu & co?
Shikamoo,ndo umerudi toka maandamanoni
Shikamoo binamuMuziki: Sina Maneno
...hata kama utasoma haya ninayoandika, utaishia pale ninapokusalimia na kukuambia kuwa wewe ni mtu mzuri na jukwaa hili ni sehemu nzuri kuwepo kwa sababu wewe upo hapa. Na kabla sijamaliza ya kuongea/kuandika, natambua kumuona na kuwafikishia salamu toka kwa mjomba wangu Lyon Lee
Hatujambo binamu vp nanyi muwazima...marhaba binamu, hujambo wewe na family yako
Nipo mzeiYa....NiajeMkushi wa kusi upo mzee baba!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mnaendeleaje jamaniTusamehe tuu
Nini jamani we muhengaAiseee
Hatujambo mpenzMnaendeleaje jamani
Sijambo mimi jamaniMnaendeleaje jamani
ShikamooSijambo mimi jamani
Binamu asante naomba uniwekee nyimbo ya nandy ninogesheCombo: Tafasiri Unavyoweza na Muziki wa Wikend
Nilipotea jana baada ya kutokea sababu zinazoepukika bahati mbaya sana moyo u radhi ila mwili u dhaifu, nikashindwa kutoke katika muda ambao ni muafaka kwangu kukuandikia kitu hapa. Anyway, hakijaharibika kitu maana hata wewe hujaonekana hapa tangu Labour Day, ulikuwa bado unatafakari hotuba ya mkulu kwa wafanyakazi. Tafasiri unavyoweza.
Leo siongelei mambo magumu sana maana jasho lako la wiki nzima inapaswa leo ulipoze kwa mambo yasiyo magumu kivile. Leo hapa tutaburudika tu na kutafasiri tunavyotaka na ndiyo maana nimekuwekea combo (combination) ya vipengele ambayo huwa ninaandika kwa wiki, Tafasiri Unavyoweza na Muziki.
Ninakusalimia wewe Kapuku na kukutakia wikend njema, tukutane tena Jumatatu kwa mapenzi ya Yeye tunayemwamini kwa imani zetu tofauti.
Za weweHatujambo mpenz
Uko na mpango wa kuninyima nini lakiniShikamoo