Makapuku Forum

Ebu nikuulize eti unataka nini jamani [emoji3]
Ataka ataka ataka naniii, atakaaaaaaa, ataka naniiii, ataka ataka.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Umenikumbusha katoto ka dada yangu ,kakivalishwa nguo kasioipenda bas kanaanza hizo kauli hapo za ataka ataka naniii

Hahahahaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…