mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 22,559
- 45,132
We una matatizo kweli akiAcha hizo hebu nijibu PM zangu
pm hujatuma na ya kwako ulishaifunga sijui ina super glue!
We una matatizo kweli akiAcha hizo hebu nijibu PM zangu
Mwenyewe!Muone
MhYaaaan!
sijawahi pata pm ndio maana
Sasa itakuwajeSijui hata
Pouwaaaa
Mbona mmerudi pamojaYaaaan!
sijawahi pata pm ndio maana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mwendo wa mapambio tuuuuu
Hhaaaaaaa
Acha kumzingua mwenzio sio vizuriAcha hizo hebu nijibu PM zangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We una matatizo kweli aki
pm hujatuma na ya kwako ulishaifunga sijui ina super glue!
Kwahiyo davet ndo Sakayo?Mh
Mbona Davet huwa ananiambia mna chat
Tuliondoka pamoja tutqachaje kurudi pamoja aki!!Mbona mmerudi pamoja
Nenda page ya kwanza kabisa mkuu ukasomehivi kapuku maana yake nini?
We mwache anizingue tu,Acha kumzingua mwenzio sio vizuri
Hahaha sio useme upati pm ungesema hupati pm ya sakayo au ya mdadaKwahiyo davet ndo Sakayo?
He he hata mm naonaTuliondoka pamoja tutqachaje kurudi pamoja aki!!
hivi kapuku maana yake nini?
Mngh!Hahaha sio useme upati pm ungesema hupati pm ya sakayo au ya mdada
Asante sana binamu yangu kwa hii nyimbo [emoji120][emoji120][emoji7][emoji7] unajua venye nakupenda tu mmMuziki: Ijumaa Na Mapumziko
Pole kwa mihangaiko ya majukumu tofauti tangu Jumatatu hadi leo ambapo tunajiandaa kuianza wikend. Nami bila kukupotezea muda kwa maneno mengi, ninakusalimia Kapuku mwenzangu na kukutakia mapumziko mazuri ya wikend, ukinywa, kunywa kistaarabu na kama hunaye wa kila siku mmoja basi kondomize, bado zoezi la Mak.onda litaendelea, fyi.
Muziki sasa, ni chaguo la aunt yangu Shunie sikuwa naujua huu muziki lakini sasa nimeujua na kuupenda. Tuburudike pamoja
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]We mwache anizingue tu,
Hahahaaaaa