Makapuku Forum

Hakuna kitu kibaya kama kujiona ww ndio sahihi.
 
Reggae is music that i need.. [emoji444] [emoji445] [emoji445] [emoji445]
 
Hakuna kitu kibaya kama kujiona ww ndio sahihi.

...Maulana katupa utashi na uwezo wa kufikiri na hii ni tunu ambayo haijawahi kuondolewa na yeyote iwe enzi za Mongol ya Genghis Khan ambaye pamoja na maguvu yake alikuwa na uvumilivu kwa wale anaowaongoza au alikwapua himaya zao itakuwa zama za leo!

Yana mwisho.
 
Ukiishi kwa kufumba macho na kuwakataa watu wasikushike mkono tegemea kuingia topeni ama kuzama shimoni..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…