Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 May 9, 2016 #31,142 jambilo said: Niliwamis makapuko, mko poa! Click to expand... Tuko poa brother. Habari yako.
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 May 9, 2016 #31,143 Linamo said: Click to expand... Huyu gadna naye hajitambui kabisa.
amaizing JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 3,616 Reaction score 12,398 May 9, 2016 #31,144 gasper do santos said: natamani tuamke na breaking news serikali imekamata umeme kwenye maghala ya tanesco Habari za jioni? Click to expand...
gasper do santos said: natamani tuamke na breaking news serikali imekamata umeme kwenye maghala ya tanesco Habari za jioni? Click to expand...
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 May 9, 2016 #31,145 EMMYGUY said: Umepotea sana kaka. Click to expand... Maisha kumbe huwa yanapinduka kaka....muhindi kabana...eti naye anatumbua!
EMMYGUY said: Umepotea sana kaka. Click to expand... Maisha kumbe huwa yanapinduka kaka....muhindi kabana...eti naye anatumbua!
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 May 9, 2016 #31,146 Jimena said: Habari za usiku Makapuku? Click to expand... Ulikuwa mzuri ....
amaizing JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 3,616 Reaction score 12,398 May 9, 2016 #31,147 youngblood said: Hii habari imekuwa ya moto. Click to expand... Ule ni udharirishaji Waziri amefanya Jambo LA maana kumtetea Jide na Wanawake wote
youngblood said: Hii habari imekuwa ya moto. Click to expand... Ule ni udharirishaji Waziri amefanya Jambo LA maana kumtetea Jide na Wanawake wote
Linamo JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,976 Reaction score 24,498 May 9, 2016 #31,148 youngblood said: Huyu gadna naye hajitambui kabisa. Click to expand... Hajitambui hata kidogo mwili mkubwa akili kisoda.
youngblood said: Huyu gadna naye hajitambui kabisa. Click to expand... Hajitambui hata kidogo mwili mkubwa akili kisoda.
amaizing JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 3,616 Reaction score 12,398 May 9, 2016 #31,149 jambilo said: Niliwamis makapuko, mko poa! Click to expand... TUKO poa.. Habar yako Pastor??
amaizing JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 3,616 Reaction score 12,398 May 9, 2016 #31,150 Linamo said: Click to expand... Naunga mkono tamko LA waziri Ifike mahali wanaume watambue thamani ya wanawake (note... wanaume wasijua thamani ya mwanamke)
Linamo said: Click to expand... Naunga mkono tamko LA waziri Ifike mahali wanaume watambue thamani ya wanawake (note... wanaume wasijua thamani ya mwanamke)
amaizing JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 3,616 Reaction score 12,398 May 9, 2016 #31,151 Linamo said: Hajitambui hata kidogo mwili mkubwa akili kisoda. Click to expand... Nanukuu kauli ya lovely son "bichwa kuuubwaaa, ubongo WA mende'" hii inamfaa Gardner..
Linamo said: Hajitambui hata kidogo mwili mkubwa akili kisoda. Click to expand... Nanukuu kauli ya lovely son "bichwa kuuubwaaa, ubongo WA mende'" hii inamfaa Gardner..
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 May 9, 2016 #31,152 Bitoz said: Click to expand... Nataka tu itokee mbela km wallpaper ....Yale maneno hayanogi ..............
Bitoz said: Click to expand... Nataka tu itokee mbela km wallpaper ....Yale maneno hayanogi ..............
manuu JF-Expert Member Joined Apr 23, 2009 Posts 4,064 Reaction score 10,745 May 9, 2016 #31,153 youngblood said: Tuko vizuri mkuu. Habari yako! Click to expand... Poa sana mkuu...tunapambana..
Linamo JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,976 Reaction score 24,498 May 9, 2016 #31,154 amaizing said: Nanukuu kauli ya lovely son "bichwa kuuubwaaa, ubongo WA mende'" hii inamfaa Gardner.. Click to expand... Ha haaaaa hii nimeipenda sana
amaizing said: Nanukuu kauli ya lovely son "bichwa kuuubwaaa, ubongo WA mende'" hii inamfaa Gardner.. Click to expand... Ha haaaaa hii nimeipenda sana
Lumbi9 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8,738 Reaction score 12,427 May 9, 2016 #31,155 za jioni wadau
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 May 9, 2016 #31,156 Zamaulid said: Ulikuwa mzuri .... Click to expand... Basi sawaa
amaizing JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 3,616 Reaction score 12,398 May 9, 2016 #31,158 Linamo said: Ha haaaaa hii nimeipenda sana Click to expand... Nikikosea tu kitu kidogo, untie ako lazima anipe Hiyo kauli.
Linamo said: Ha haaaaa hii nimeipenda sana Click to expand... Nikikosea tu kitu kidogo, untie ako lazima anipe Hiyo kauli.
amaizing JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 3,616 Reaction score 12,398 May 9, 2016 #31,159 manuu said: Poa sana mkuu...tunapambana.. Click to expand... Shkamoo
amaizing JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 3,616 Reaction score 12,398 May 9, 2016 #31,160 peterchoka said: za jioni wadau Click to expand... Nzuri peterchoka, Niadje??