Makapuku Forum

Sanaa binamu namshkuru Mungu sijui kwa upande wako vipi anko wako anaendeleaje

...ilikuwa poa sana, kama kawaida huwa sifanyi uzembe na hizi mvua huhitaji kinywaji kikae kwenye friji, unatumia kinywaji kinachokaa jikoni
 
"Stress" msongo wa mawazo ni shida yetu sana , ila usifanye stress ikakufanya udhalilike,usifanye stress ikakufanya udharaurike,isikufanye stress ukaonekana kituko, jitahid kujicontrol na kumuomba Mungu sana

Hakuna asie vurugwa ila jitambue wee ni nani kabla hujaruhusu huo mtibuko mbele za watu, umekataliwa ,umeachwa bas unapita kila mtu unamuadithia unalia kila kukicha,jaman ukiwa sawa hutopenda hayo maaisha, unastress za kazi basi jitahidi kutafuta njia ya kufikisha huo msongo wako, chagua hata unaemuamini muelezee upunguze machungu ila usifanye stress ikakufanya kituko
 
Ahsante Shunie
 
Ntafutie jirani yangu alipo nimmwagie stress zangu.
 
...kuongezea tu katika makala yako nzuri ni kuwa msongo ukizidi huleta sonono (depression) na tatizo la woga/kutojiamini (anxiety) na ikifikia hapo basi kuna mengi yasiyo mazuri yanakukaribia. Asante kwa kutupia makala hii
 
Asante sana binamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…