Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,605
And what about Shadrack?Am shedede am here with new ID after shedede being so old
Cheers MF
And what about Shadrack?Am shedede am here with new ID after shedede being so old
Cheers MF
Great.....kuna kitu kinaitwa sabbatical leave, haya ni mapumziko ambayo mtu hasa mfanyakazi au mwalimu wa chuo anachukua break fupi na baadaye atarudi.
mapuziko haya yanamruhusu kufanya mambo mengine nje ya kazi na ndo ukimya unaotamba humu kwa sasa
![]()
Kwema bro. Maisha yanaendeleaje? Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kwema kaka
Ile ID nimeiacha baada ya kuzeeka.And what about Shadrack?
Mkuu shimba ya buyenze,Kwema bro. Maisha yanaendeleaje? Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Karibu mpendwaWazima wapendwa wa Mungu?
Asante Mama. Habari ya hapa nyumbani?Karibu mpendwa
Hapa kwema hbr ya utokakoAsante Mama. Habari ya hapa nyumbani?
Shedede, Shadrack na Omarion 5 ni mtu mmoja? Nikitaka kuwasiliana nawe nitumie ipi?Ile ID nimeiacha baada ya kuzeeka.
BTW habar yako mkuu nyagei
Salama kabisa mvua tu ndo zimezidi kipimo.Hapa kwema hbr ya utokako
Nipo ndugu yangu. Kwema wewe? Za siku nyingi? Nitakufuata PM tusemezane !!!Mkuu shimba ya buyenze,
Natanguliza salamu.
Poleni,naona ni msimu wakeSalama kabisa mvua tu ndo zimezidi kipimo.
Asante. Japo yatuletea Neema.Poleni,naona ni msimu wake
Umzima ndgNipo ndugu yangu. Kwema wewe? Za siku nyingi? Nitakufuata PM tusemezane !!!
Niko salama kabisa. Sema ww...Umzima ndg
Nipo dadake habari za hukoMndali my brother I see u
Tumia hii mkuu,Shedede, Shadrack na Omarion 5 ni mtu mmoja? Nikitaka kuwasiliana nawe nitumie ipi?