Uwe na weekend njema mtaasisiMuziki wa Mdhamini: Ijumaa Kuu
Ninadhamini kipengele hiki mwenyewe na ninakutakia Ijumaa kuu njema wewe BlessedHope , Shunie , Tumosa , ABJ , Clkey , demi , Valentina , husna muba , Lyon Lee , Nyagei , Transcend , Mndali ndanyelakakomu , dumejeuri , SHIMBA YA BUYENZE , mzeewakungoa , makaveli10 , Mwifwa na wewe Kapuku unayefurahia siku ya leo na weekend yote kwa ujumla wake wa Pasaka
Itakua mawazoHv huyu mtu alieleta hili wazo la huu uzi alikua anawaza nini
ASANTE MKUU. UBARIKIWE SANA !!!Muziki wa Mdhamini: Ijumaa Kuu
Ninadhamini kipengele hiki mwenyewe na ninakutakia Ijumaa kuu njema wewe BlessedHope , Shunie , Tumosa , ABJ , Clkey , demi , Valentina , husna muba , Lyon Lee , Nyagei , Transcend , Mndali ndanyelakakomu , dumejeuri , SHIMBA YA BUYENZE , mzeewakungoa , makaveli10 , Mwifwa na wewe Kapuku unayefurahia siku ya leo na weekend yote kwa ujumla wake wa Pasaka
Dar! Kubwa hii, imeishia kimbiji pale mti mweupe.Daah
Hahaa... Mialiko yote inabidi tuichuje.Pasaka vs siku ya wajinga hivi nikialikwa inawezekana nisile maana ni siku ya kushikana ujinga?
Mkuu unaelewa nini mtu akisema UNA BAHATI YA MTENDE?Dar! Kubwa hii, imeishia kimbiji pale mti mweupe.
Kabisa kabisa mkuu hakuna namnaHahaa... Mialiko yote inabidi tuichuje.
AbeeeShemeji
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Nawatakia maandalizi mema ya pasaka
Asante[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Nawe pia ujiandae vyema
Bahat ya mtende, kuotea jangwani hili ni zaidi ya zali.. Yawezakuwa zali la mentaliila si zari wa dimond platnumzMkuu unaelewa nini mtu akisema UNA BAHATI YA MTENDE?
Sipokei mualiko wowoteKabisa kabisa mkuu hakuna namna
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji113]Nawatakia pasaka njema wapendwa, kutokama pasaka imeambatana na sikukuu ya wajina mimi simualiki mtu ila atakaetaka kuja na aje tu nyumbani.
Hapi ista tu ol of yuu mai ........... Deshi deshi.