Makapuku Forum

Aah
Nyie jamaa mambo gani ya Ramani hayo mi geography sku soma.
Nikifika maeneo ya ubolozini ntaangalia tu njia gan ina nishawishi kuwa ndio NiDA huko.
Thanks lakin
Wala haikuitaji kwenda shule mkuu..

Ni simple..! Ila nawaza tuu ushaona njia hapo kwenye ramani tayari..

Kazi kwako
 
Wala haikuitaji kwenda shule mkuu..

Ni simple..! Ila nawaza tuu ushaona njia hapo kwenye ramani tayari..

Kazi kwako
Nime ielewa ile njia, kuna siku niliebda kula kwenye cantin moja iko kule japo ilijuwa zamani sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…