Makapuku Forum

Ubarikiwe sana mtaasisi, naweza kukupa ruhusa ya kumuona BH kwa masaa kadhaa

Nyagei
 
Shukrani mtaasisi, leo nimeacha kutafsiri sababu ya weekend [emoji2]

Nyagei

Ha hahaha, umefannya vizuri maana weekend haitakiwi kuwa ngumu sana, nafikiria kutoandika Ijumaa kipengele hiki maana hata mimi napenda ninapokunywa kabia kangu kasafari kabaridi nisiwe nafikirfikiri mambo makubwa ha ahahhaa. A

Asante mtaasisi kwa kunifanya nitafakari
 
Binamu shikamoo
Halaf kuna siku niliingia humu nikaomba nyimbo hivi hujaona post yangu au vipiii niliomba nyimbo ya tilda ya sweet mother
Nyimbo ilitumwa ila ni tofauti

Nyagei
 
Reactions: Obe
Asante binamu kichwa safari
 
Tuko pamoja mtaasisi

Nyagei
 
Reactions: Obe
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…