Seriously?!Same problem
JamaniMi nilishazoea. Nina karibu miezi sita sasa.
Hivi lakini haya yoooote si kwa sababu ya kulana tuu?Shida ni ninii kwanii kuhusu abj au kuhusu Lee me sikuelewi tulishawambia mwanzo hiyo id alikua anayetumia sio Lee empire sikuelewi na quotes zako me sitaki usiniquote pls
Hahahaa..[emoji41][emoji3][emoji3][emoji3]Endelea na makaburi yako ila usiniquote
Tena ya tembo cardWewe una nyota ATM sio bure
Kulana vipiiiHivi lakini haya yoooote si kwa sababu ya kulana tuu?
Anko nipo hapa tayari? Mtaasisi anachanganya mambo, yeye kashindwa kujua kuwa ngao ya kidonge na ngao ya maji hazina tofauti, ona sasa anaanza kufukua makaburi ya wasiojulikanaMkuu mbona unamsumbua mama d ...hivi alisema kweli kaniachaa ??
Isije kuwa na uzii wangu nshafunguliwa ...binamu Obe njoo mara moja
Kalala kwa mchepuko wake mpya make vitoto vya chuo vimmefunga ndo yupo nacho kimojaa hukoo
Heshima kwako binamu ...pole sana na kuachwa na bi fatma lakini uliyataka mwenyeweee........sijalala bado, vipi wewe umeshafanikisha sehemu ya kusimika nguzo maana mvua zinazonyesha hizi umetuma maombi sehemu tofauti na nyingine hata aunt hhajui
Shukrani kiongozi ....Tafasiri Unavyoweza: Matatizo Sio Vikwazo, Ni Miongozo
Hakuna siri kwamba tunapitia mambo mengi sana kibinafsi, kijfamilia, na hata kitaifa. Ndiyo, tunapitia mengi mazuri na mengi mabaya yanayotupa ujasiri, huzuni na mengine yanatufanya tukae chini kujiuliza kama njia tunayoenenda nayo ni sahihi. Njia zote tunazotumia kutaka kwenda tunapotaka si zile zilizonyooka pekee, kuna milima na mabonde bila kuyasahau makorongo na mitelemko. Tafasiri Unanvyoweza.
Wengi wetu ni watumiaji wa barabara, na barabara timamu ina alama za kukuongoza mtumiaji uwe unaitumia kwa miguu au kwa vyombo vya moto. Alama hizi kutaja chache ninazozifahamu ni pundamilia, alama ya kusimama na mwendo sahihi unaohitajika. Ndivyo na maisha yalivyo. Kuna alama za kila namna kwenye maisha na hasa ikiwa wewe ndo ushafikia umri wa kujiendesha mwenyewe. Kujiendesha mwenyewe maana yake kuna wakati utahitaji kuendeshana, tafasiri unavyoweza.
Usikwaze na alama za kukusimamisha (stop signs) hizi zipo, ziheshimu. Matatizo yawe ya mahusiano, kikazi, kifamilia, kiuchumi na kiimani kutaja machache ni alama ambayo haipaswi kukusimamisha katika kile unachoamini ni sahihi kwako na afya ya amani yako. Tumia matatizo kama muongozo (guideline) ya kukufanya ukomae na kulifikia lengo unalohitaji kibinafsi, kifamilia na kitaifa. Matatizo hayataisha na ndiyo maana umepewa kichwa chenye ubongo, yatatue uende mbele unapohitaji. Tafasiri Unavyoweza
Heshima kwako binamu ...pole sana na kuachwa na bi fatma lakini uliyataka mwenyeweee....
Mimi hii mvua imekuja ghafla na mipango yetu kama unabojua booking muhim kwako sio kwangu ...hapa naisaka njia ya kwa aunt yako ....
Tangu lini ukanibishia mimi ...waliofunguwa ni waimbaji sio wimbo...ha hahahaha, huu wimbo si umefungiwa mjomba, mbona unataka moderators wanifungie kuandika kipengele cha muziki ha ahhahahahaa
Tangu lini ukanibishia mimi ...waliofunguwa ni waimbaji sio wimbo
Sasa unaweka au hauweki ??
Ila kwa kwelii Arsenal wana roho ngumu si wawape city tu point 3 na magol mawili...ha hahahaha, nakujua wewe uko karibu sana na naibu waziri anayeita wasanii na kufungia nyimbo zao. Nitaweka mjomba wala usihofu dakika ishirini nyingi wakati tunawasubiri Arsenal wafanywe yao
Unashangalia wapi etiIla kwa kwelii Arsenal wana roho ngumu si wawape city tu point 3 na magol mawili
Anyway ntashukuru sana .....alafu naamini modee wakiletaa fyoko utakua unapandisha lisegmentii mwanawaneee kwa kiiingilishiiii make najua kidemu chako cha sua kinakuweka vzur