OKAY...
sasa nmeshakuja na suluhisho.
kutokana na hii mis-understanding iliyojitokeza hapa juu nmeona bora "tufunike kombe mwanaharamu apite"
kwa maana hata hawa waliokwaruzana tayari wameshayamaliza so AMANI NA ITAWALE

Naona siku hizi makapuku wameshuka morali sasa sielewi ni kuuzoea ukapuku ama kuna makapuku ambao ukapuku wao umeisha!
President Bitoz kama vipi muwape vyeti makapuku wanao hitimu wasiwe wanaondoka kimya kimya kama Dr.Slaa alaf waje kuibukia upande wa pili sio vyema