Mimi sipo tena..jukwaa la chini we si kama T mnapita kimyakimya
Na wewe ni makapuku forum?Laana zingine mbaya ila tamu ndiyo ubaya wake.
Hakika, Mtu ukifika umri wa kustaafu itabidi uchinje ng'ombe ushukuru na familia maana sio kwa maisha haya ya kuwindana.Yaani mungu atupe uvumilivu was kutosha
Yupo depoShedede afande yuko wapii
Nipo nje kwa mudaNisamehe
Analisongesha vzr sana
Acha kumpeleka huko bro..
Ule uzi wako ninao upenda uliufuta?
Kwaresma hii fanya ujiondie...
Hauvumi lakini umoMuombe Mung akusamehe mkuu, sio mimi.
I am less connected to your spiritual matter.
Uzi upi tena kaka mkubwa...
Come and goEasy money
Hahahaa...!Hauvumi lakini umo
Tukutane box to box baada ya City kuendeleza uteja kwa Wigan
Amen ubarikiwe ObeAsante BlessedHope kwa kututakia siku njema. nami nikutakie siku njema pia.
Mazoea mabayaHahahaa...!
Weekend nina ratiba ya kunywa balimi nitakujibu vizuri jukwaa la chini.
Kipenzi cha ObeShikamoo mpendwa obe
Wala sitaki mwingine... Naweza kuta sura yangu inabembea jf na kigauni cha blue.... Woooiii
Hujambo wewe mkaka
Sijambo mmHujambo wewe mkaka
HahahaSijambo mm