Makapuku Forum

Ujinga Na Ushamba Ni Kujiita Kapuku,aliyeanzisha Huu Uzi Hajielewi,,,,,hali Yakujiita Tu Kapuku Ni Tatizo Lakwanza Kujikomboa Kutoka Kwenye Ukapuku,,,ila Tutafika Tu Tunapoelekea!!

.....sasa unataka tukusaidieje?! Tukitaka kubadili jina toka Kapuku tutakutafuta utoe mawazo yako vinginevyo kwa sasa huna haja ya kuonesha kutofahamu kwako kwetu
 
Story.:...............


........Sauti ikasikika " paaaaaah! PwaaaaaaaA!!, Mara kimya kikatanda kwa dakika 3 na sekunde 30 hivi, ikafatiwa na kishindo kikubwa " khwaaaaaaA!"upande wa kushoto mwa chumba alipokuwa Franklin Shczyln akiufanyia uchunguz mwili wa marehemu .

Huku akiwa amebanwa kifua anahema kwa shida, jasho likimtoka, ghafra akaja jamaa mmoja mwembamba, mrefu wa kimo amevaa gloves mkononi na black glass, akaisogelea ile meza akachomoa kitu mfukon na kukiweka kwenye chombo kidogo mithili ya kisosi kilichokuwa mezan, na kutoweka kusiko julikana.

Franklin akajikongoja hadi pale mezani nakuchunguza kile kitu!! Ooooooh my God !!(alishtuka , huku mapigo ya moyo yakimwenda kwa mbio na kubaki bila kuwa na usemi). Hakuamin.macho yake baada ya kuona kipande cha ganda la risasi, ambacho n tofauti na alichokitoa kwenye mwili wa marehem!

Ndo mawazo yakamjia haraka kuwa tayari ushaid wa ukwel ulikuwa uishaibwa, na ule wa uongo ndo ulikuwa umepandikizwa!!

Jaman marehemu, kwanini , why?kulikoni? Nifanye nini sasa ili hak itendeke?! ( alijiuliza maswali lukuki ,machozi yakimbubujika! Huku akisema hili na lile ) ..........

Itaendelea.....( lee empire ;The Fake Detective )
 

.....watanikata jina langu kwenye daftari la wapigakura la dick-carrying society
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…