....hapana anko, wewe ndo ulianza. Me nilifanya Siri lakini wewe ukapata penalty ukatumia ukapteni kuipiga. Sasa inabidi tukibaliane tu, penalty napiga Mimi, wewe zako Kona.
Vipi kile kicounter book Cha zamu bado unakitumia? Au kilipojaa uliamua ufungue Excel file kabisa