Wataweka tu.... Hawa hawashindwiHahaha kweli wakiweka expansion joint ila tabata na kurasini mbali
Niko poa wewe je, mzima sana
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji15] aaah! Hizo ndude hapna kwa kweli haziendi kokote
Santeee binamu acha nikupende tu mie [emoji8]Muziki wa Mdhamini: Njoo Tubet
Muziki wa mdhamini kama mnavyojua huwa hauna maneno mengi na hasa kama mdhamini kavuta kitita cha Biko na sasa anakula maji na karanga kuongeza salio. Tuburudike pamoja na aunt yangu Shunie
HV bado hujampata tu huyo BH?!!!
[emoji4] [emoji4] [emoji4][emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8]
Mzima sana! Nakuona ktk avatar na kinguo cha kesho!Niko poa wewe je, mzima sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...bado bhana, hebu nipe mbinu mbadala
Mfyuuuu...bado bhana, hebu nipe mbinu mbadala
Hii avatar yangu ndio unaiona leo eenhMzima sana! Nakuona ktk avatar na kinguo cha kesho!
Yes. Kumbe ni muda? Basi hii simu ina shida!Hii avatar yangu ndio unaiona leo eenh
Khaaa [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] me avatar yangu ina miezi haihusiani na mambo ya valentineYes. Kumbe ni muda? Basi hii simu ina shida!
HukuKwaSimuYanguMpakaJanaNimekuonaUmevaaKangaMokoKhaaa [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] me avatar yangu ina miezi haihusiani na mambo ya valentine
KheeeHukuKwaSimuYanguMpakaJanaNimekuonaUmevaaKangaMoko
Yes. Kumbe ni muda? Basi hii simu ina shida!
Khaaa [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] me avatar yangu ina miezi haihusiani na mambo ya valentine
Hizi simu za Mchina ndg yangu....au simu yako ina screen kama calculator (joke)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kheeee shangazi jaman umezuka kama kizuka