Ushauri kwa Mamlaka ya kupambana na dawa za kulevya, Wizara ya michezo, TFF pamoja na BMTHabari wana JF
Habari Makapuku wenzangu
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya makapuku wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za kukabiliana na mambo yote humu.
Makapuku natumaini nyote tutashirikiana katika jambo hapa JF. Bila kumsahau founder wa makapuku Bitoz shukrani kwake
Karibu sana makapuku katika mjadala. Wengine nitawaongeza hapo baadae.
Karibu sana
Bitoz
JF Makapuku Founder
Jimena
JF Makapuku assistant Founder
Th Name JF Makapuku assistant Founder
Mzima shemHbr ya asubuhi makapuku wenzangu nmewamiss sana[emoji7] [emoji7] [emoji7]
Cjambo mmefichama wapi mbona cwaoniMzima shem
Yaani Makapuku siku hizi wanaonekana kwa nadra mno. Ngoja tusubiri mwezi huu uishe pengine watarudi. Kwema lakini? Mwaka mpya unaendeleaje?Cjambo mmefichama wapi mbona cwaoni
Ni kwema kabisaYaani Makapuku siku hizi wanaonekana kwa nadra mno. Ngoja tusubiri mwezi huu uishe pengine watarudi. Kwema lakini? Mwaka mpya unaendeleaje?
Shikamoo binamuTafasiri Unavyoweza: Nafunga Wiki Tanzania 2038
Kwanza nijipongeze, nimeandika kipengele hiki kwa siku zote za kazi Jtatu-Ijumaa. Inawezekana kabisa kutokana na namna ushiriki wa wengi umeonekana kupunguza hapa, nimepata nguvu zaidi ya kuandika na kusoma mwenyewe, tafasiri Unavyoweza. Soma mpaka mwisho.
Kupanga mipango ni jambo zuri, iwe ya kibinafsi, familia, jamii na nitaongelea zaidi mipango kama jamii/taifa ya Tanzania. Shirika la Idadi ya Watu linaonesha takwimu kuwa tumekuwa na ongezeko kubwa la watu nchini, tunazaana sana, hili si jambo baya. Kati ya 2002 -2012 Idadi ya watu iliongezeka kwa asilimia 30 (34mil hadi milioni 45. Na kwa kiwango cha 2.7 tunachozaliana basi mwaka 2038 tutakuwa milioni 90, tuombe uzima.
Mipango ya muda mrefu ikoje, au ndo habari za kuendeleza DSM peke yake huku mikoa mingine ikiachwa hohehahe bila miundombinu ya maana. Kilimo je, siasa ya kilimo inayomfanya mkulima aonekane mjinga itabadilishwa? Kama tukidharau na kutoa bajeti ndogo ya kilimo, serikali ina mpango wa kutufanya 'tukulane wenyewe' . Fikiria Unavyoweza , nachokoza tu.
Elimu tunaitizama vipi kwenye zama hizi za kufyatua tu, utawala bora je! Umeme wa kusuasua unaofaidisha kimkono wa birika asilimia 41 tu ya wananchi. Pato (GDP) kwenye Kilimo haliko imara kisa madini.
Fikiria Unavyoweza, nafunga wiki na Tanzania mwaka 2038 tutakuwa milioni 90, tunza afya.
Marahaba kwa niabaShikamoo binamu
Shikamoo binamu
Ulipotelea wapi lakinMarahaba kwa niaba
Mie mzimaMarahaba binamu, u khali gani wewe Kina JJ hawajambo
Mie mzima
Kina JJ hwajambo wanaulza lini utakuja kutusalmia
[emoji1] [emoji1] [emoji1].....ngoja mvua ziishe nitakuja kuwasalimia. Waambie nimeumbwa kwa udongo na mvua za dar zitaniumiza.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]...alikuwa anatimiza agizo la ufyatuaji
Na kwako mkuuMuziki: FurahiDay Mdau Mwaminifu
...maneno machache kwa sababu ya ukimya unaoendelea kutamalaki humu jamvini. Hakijaharibika kitu maana bado wengi wetu tukipata muda tunachungulia na kusmile kisha tunaendelea tunapotaka kwenda, JF ni kama bahari, kubwa mno kuanzia jukwaa la juu hadi la chini, hapo sijaoongea vijijukwaa vya msimu. Uzuri ni kuwa Makapuku ilionekana kuwa ya msimu lakini imesimama kuliko moja. Hongera kwako unayelifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo.
Muziki sasa, sijaacha kuwakumbuka hata kidogo, mnalijua hilo. Nakutakia wikend njema mdau mwaminifu
Hahahaaa.....ngoja mvua ziishe nitakuja kuwasalimia. Waambie nimeumbwa kwa udongo na mvua za dar zitaniumiza.