MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,456
- 69,358
poa mkuu tuko pamoja sana.Salama
Rudisha basi nitakupa zawadi nzuri nzuriHakuna namna tena ndugu yangu.
Mie nko poaSalama wa salmin shemeji, sijui wewe shemela.
Nimekihamu kinoma noma.Mie nko poa
Ndugu yangu hajambo!?
Ni mzima kabisaNdugu yangu hajambo!?
Mpe hi sanaNi mzima kabisa
Mambo ya mwambao hayaMuziki: Nini Maneno, Burudika
Leo ni Ijumaa, wikend ndo imeanza fyi.
Nikutakie wikend njema, nipo nafanya yangu, nawe fanya yako. shoo imekolea hapa Mwembeni pub yaana DJ na MC wameng'atana wanaupendeza muziki ukiacha hawa wacheza shoo wanaoifanya bia ya moto kuwa ya baridi. Baadaye nitaomba namba ya mmoja ambaye nishaamka kumtuza si zaidi ya mara nne, atakakuwa keshanikariri
Mambo ya mwambao haya
Upo mkoa wa pwani.. Nani huyo anasema unakaa kusini!!?...yeah, Mtwara, Lindi, Tanga, DSM na pwani, ukisikia wanasema pwani ndo hii mikoa sasa. Msiseme ninakaa miko ya kusini
Muziki: Nini Maneno, Burudika