Makapuku Forum

Haha haha umenifanya nimecheka ujue [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti picha yako utaikuta kwenye avatar yake, tuhurumieni basiii.

Nimewatembelea nataka kufanya mapinduzi flani hivi. [emoji4] [emoji123] mpe salamu zangu Sakayo.
Ahahha salam zimefika achana na viben10 unajishtukia tu upo kwa avatar yake ebu niambie unataka kufanya mapinduzi gani hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…