Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Sina neno bali nafurahi kukuona hapaNambie Jambiloo
Sina neno bali nafurahi kukuona hapaNambie Jambiloo
Njema my wiiHabari za usiku Makapuku?
Swafi mkuuImeenda poa
Namshukuru Mungu
.............
Notification zimekuwa adimu km sukari guruNimeshaufanyia kazi
Mrembo upo!Njema my wii
Habar ya wewe??
Pole shemNsamehe sana kaka, nimepata msiba home ndo maana niko kimya sana.
Nipooo juzi, jana, Leo na keshoooMrembo upo!
Mkuu tuko pamoja, kwema lakini?Musolin 5 nafarijika kukuona jukwaani mkuu
Kwangu leo zinakuja notification, uvumilivu ulinishinda nikaamua kuifuta application na kuidownload tenaNotification zimekuwa adimu km sukari guru
![]()
![]()
![]()
![]()
......................
karibu mremboHodii wapendwa hodii
karibu mpendwa wetuHodii wapendwa hodii
Bado, nipo PaliiWerrason umerudi toka congo
Mupenzi umekuja!Hodii wapendwa hodii
Nitafanya hivyo baadayeKwangu leo zinakuja notification, uvumilivu ulinishinda nikaamua kuifuta application na kuidownload tena
Kwema, umemwona rubii?Mkuu tuko pamoja, kwema lakini?
KaribuHodii wapendwa hodii
Mmemaliza 40?Bado, nipo Palii
Njema pia,Njema my wii
Habar ya wewe??
