...huwa nachukua sana muda kuelewa, utaambiwa tu. Kwa hiyo kama mbavu zinamuuma Shunie dada yake ndo daktari wake wa mbavu? Hivi kuna mtu anawaza niachokiwaza hapa
Huyu dada shingoni tu kavaa shanga tano, ngoja ninywe maji nishuke chini nyongani kavaa ngapi. Nipe namba yake ya simu wallah umeniharibia usiku wewe jombaa