Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,955
- 16,006
Ubingwa ushachukuliwa na yangaUbingwa unanukia
Ubingwa ushachukuliwa na yangaUbingwa unanukia
Young AfricansUbingwa ushachukuliwa na yanga
Safi sana mwanaume ni kazi, sisi pia tuko busy kipindi hiki kama unavyojua miezi hii posa ni nyingi, wanaume wa Dar wote hukimbilia kuja kuoa huku SitimbiHuku safi tulikuwa busy kufungulia maji kwenye majeruba ya mpunga
SanteeeeYes......
Happy month kapuku forum....
In advance
Wanawaoa kwa niaba ya wengine maana hawana ubavu wa kuhimiliSafi sana mwanaume ni kazi, sisi pia tuko busy kipindi hiki kama unavyojua miezi hii posa ni nyingi, wanaume wa Dar wote hukimbilia kuja kuoa huku Sitimbi
Kuna mpaka waliopeana talaka, kwasasa EMMYGUY yupo single youngblood pia vile vile na zilizokuwa pande zao za pili pia zipo hivyo hivyo.Sipo humu muda vipi hakuna watu ambao wameshaoana![]()
Nilisahau kukwambia kwasasa mchawi (tusimtaje jina hayuko namba 1)Te te te te te
HatushindwiiiYawezekana na madalali ni sehemu ya makapuku
Kumbe unajua eeh??Simba koko wamebaki wa maonyesho
Huu ni mwanzo tu.....Simba 0 mwadui 1