Makapuku Forum

Sabato Njema Makapuku
Naamini Mungu akija weekend wengi sana tutaingia mbinguni maana Ijumaa watu tunaenda kupiga swala wazee wa kujibidua, Jumamosi wataalamu wa kande na viporo wanasali, Jumapili ma cannibal (wala nyama na damu) wanasali pia..

Hapa basi kuna wengine wanajipanga kuniombea kuwa nakufuru, sahau sala zako, saa hizi nimelewa hazitasikilizwa
 
 
Zaburi 89:15-17
[15]Heri watu wale waijuao sauti ya shangwe,
Ee BWANA, huenenda katika nuru ya uso wako.
[16]Kwa jina lako hufurahi mchana kutwa,
Na kwa haki yako hutukuzwa.
[17]Maana fahari ya nguvu zao ni Wewe,
Na kwa radhi yako pembe yetu itatukuka.

*Neno la Bwana libarikiwe Asubuhi njema Wapendwa*
 
Kweli umelewa ukizinduka utajiombea mwenyewe ...Mungu akubariki
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…