Makapuku Forum

Binamu asante sana
hapa nilipo umenifanya nijisikie raha kwa hizi nyimbo halaf nani kakwambia ujijumuishe hizi nyimbo ni kwa ajili yangu mm tu jaman hivi huwa huelewi
 
...nilijua tu lazima mimi nisiwemo, hivi nimekukoseaga nini mimi? Ujue sisi ni ndugu kabisa maana mumeo namuita mjomba
 
Binamu sio wewe tu uwepo hizo nyimbo hazimuhusu yeyote zaidi ya mie shunie pekee hivi makosa yako huyajui au kujisahaulisha
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…