Makapuku Forum

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu mcute wangu mtamkimbizaaa
Hapana hawezi mwambie hakuna safari isiyo kuwa na kona milima mabonde na madaraja

Umwambie kuwa hii safari ndo tunaianza awe mvumilivu maana akiwasikiliza walio shindwa nae atashindwa[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ulivomaliza [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…