Anko bwana [emoji1] [emoji1] [emoji1]Muziki: Miaka Miwili Twajikongoja
...kuna wakati huwa najiuliza kuhusu Tanzania yetu ilivyokubwa na maswali yanazidi nikija hapa na kukuta wewe kapuku mhesimika ambaye nachukua nafasi hii kukusalimia sana na usijesema sikumbuki kuwa kwa siku mbili sijakusalimia na sina hakika ninaweza kukusalimia mara mbili kufidia siku ambazo sikukusalimia wewe unayelifanya Jukwaa hili kuwa bora zaidi ya majukwaa mengi humu. Ujue nini, wengine wakipita Jukwaa hili hawaachi kujikwaa na hii ni kwasababu wewe uko humu. Asante sana.
Leo nitaiangalia zamani, si zamani sana maana muda unakwenda hata jana inaweza kuwa zamani na ukitaka kuijua nguvu ya zamani basi kumbuka yote yaliyokufanya unyongee moyo na kama hujaamua kuamka na kuendelea kwa kuyafanya somo basi zamani itakuumiza sana kila wakati. Rais wetu katimiza miaka miwili mjengoni na anaendelea, hapa kazi tu. Kusheherekea miaka miwili ya urais, anko wangu akaandaa sherehe bhana, ujue anko wangu yeye kila tukio lazima alitafutie sababu ya kufurahia. Maisha ni kufurahia, kwani nani hapendi kufurahia. Anko akaniambia nisiache kuja kwenye sherehe kutakuwa na ugeni. Nikapiga mahesabu kama ugeni basi sherehe itakuwa kubwa maana aunt yangu kwa kuandaa madikodiko hajawahi kutuangusha. Kufika eneo la tukio namuona anko na mrembo wa kimanga, kutizama simuoni aunt. Nikajiongeza akili zangu maana haya mambo ya ukoo, nikatambulishwa na kasi ya vinywaji ilivyokuwa inakuja sikupenda hata kujua aunt yangu mnayemjua yuko wapi.
Muziki, hebu tujikongoje na tufurahie maana maisha yafaa nini kama hatufurahi na kuwafanya wanaotuzunguka wafurahi
Anko bwana [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ujue mda mwingine ukiitwa kwenye sherehe za watu acha tabia yako ya kuja na wale wasiojulikana...
Mfano mm nimefika home namuuliza mpendwa wangu Nimemuuliza *WIFE,* fedha za matumizi zimebaki kiasi gani kuanzia asubuhi mpaka muda huu? amesema hakumbuki anashulika na mambo mengi ya familia hivyo mpaka amuulize "DADA wa KAZI"
Nimeamua nitampangia kazi nyingine! Hawezi kunijibu mm hivi.[emoji124][emoji124][emoji124]
Ujue haya mambo yanahitaji utaalam wa kiwango cha mchepukiaji special kuzid wewe ...uzur wewe uliingia wadhunguu wanasema too late ...bwana mm niliwambia saa 10 jion kumbe yenyewe saa 7 mchana nikamalizana naye yule kiroho swafiii chapa ilaleee cha fasta ...ila na wewe unashtuka kinomaa kama mimosa pudicaHa hahahahah!!
Wale wasiojulikana sijui hata walitokea wapi maana wakati nakuja niliangalia mingo zote nikajua nikifika nitakukuta na toleo jipya kumbe hola, au aunty amekuwekea maspy?
Kwa hiyo majukumu ya 'wife' umempatia hozgeli? Anko mimi siwezi kukubishia
Ujue haya mambo yanahitaji utaalam wa kiwango cha mchepukiaji special kuzid wewe ...uzur wewe uliingia wadhunguu wanasema too late ...bwana mm niliwambia saa 10 jion kumbe yenyewe saa 7 mchana nikamalizana naye yule kiroho swafiii chapa ilaleee cha fasta ...ila na wewe unashtuka kinomaa kama mimosa pudica
Ofkozii kazi na majukumu housegirl japo kashapanda cheo yanamfitiii haswa tena kuna reserve wa nyumba ya jiranii ...wa kwako
Poa, tena sanaMko poa humu
1.shunie
2.makaveli
3.sakayo
4.lee
5.transcend
6.blessedhope
7.shululu
8.tumosa
9.husna muha
10.obe
11.shimba ya buyense
12.bitoz
Husna muha...[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mko poa humu
1.shunie
2.makaveli
3.sakayo
4.lee
5.transcend
6.blessedhope
7.shululu
8.tumosa
9.husna muha
10.obe
11.shimba ya buyense
12.bitoz
Kwa kweli hakuna tofauti kati ya ngao ya maji na kidonge[emoji125] [emoji125] [emoji125]...ha ahahahahah, kushtuka lazima tena ukiacha kustuka kama mimosa pudica kwa mpenzi wangu HM moyo wangu unafunguka kama ua rose
Ujue haya mambo yanahitaji utaalam wa kiwango cha mchepukiaji special kuzid wewe ...uzur wewe uliingia wadhunguu wanasema too late ...bwana mm niliwambia saa 10 jion kumbe yenyewe saa 7 mchana nikamalizana naye yule kiroho swafiii chapa ilaleee cha fasta ...ila na wewe unashtuka kinomaa kama mimosa pudica
Ofkozii kazi na majukumu housegirl japo kashapanda cheo yanamfitiii haswa tena kuna reserve wa nyumba ya jiranii ...wa kwako
[emoji4] [emoji4] [emoji4][emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ujue haya mambo yanahitaji utaalam wa kiwango cha mchepukiaji special kuzid wewe ...uzur wewe uliingia wadhunguu wanasema too late ...bwana mm niliwambia saa 10 jion kumbe yenyewe saa 7 mchana nikamalizana naye yule kiroho swafiii chapa ilaleee cha fasta ...ila na wewe unashtuka kinomaa kama mimosa pudica
Ofkozii kazi na majukumu housegirl japo kashapanda cheo yanamfitiii haswa tena kuna reserve wa nyumba ya jiranii ...wa kwako
Kwa kweli hakuna tofauti kati ya ngao ya maji na kidonge[emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] Asante Obe..kikongwe oyeeeee[emoji108] [emoji108]Muziki: Miaka Miwili Twajikongoja
...kuna wakati huwa najiuliza kuhusu Tanzania yetu ilivyokubwa na maswali yanazidi nikija hapa na kukuta wewe kapuku mhesimika ambaye nachukua nafasi hii kukusalimia sana na usijesema sikumbuki kuwa kwa siku mbili sijakusalimia na sina hakika ninaweza kukusalimia mara mbili kufidia siku ambazo sikukusalimia wewe unayelifanya Jukwaa hili kuwa bora zaidi ya majukwaa mengi humu. Ujue nini, wengine wakipita Jukwaa hili hawaachi kujikwaa na hii ni kwasababu wewe uko humu. Asante sana.
Leo nitaiangalia zamani, si zamani sana maana muda unakwenda hata jana inaweza kuwa zamani na ukitaka kuijua nguvu ya zamani basi kumbuka yote yaliyokufanya unyongee moyo na kama hujaamua kuamka na kuendelea kwa kuyafanya somo basi zamani itakuumiza sana kila wakati. Rais wetu katimiza miaka miwili mjengoni na anaendelea, hapa kazi tu. Kusheherekea miaka miwili ya urais, anko wangu akaandaa sherehe bhana, ujue anko wangu yeye kila tukio lazima alitafutie sababu ya kufurahia. Maisha ni kufurahia, kwani nani hapendi kufurahia. Anko akaniambia nisiache kuja kwenye sherehe kutakuwa na ugeni. Nikapiga mahesabu kama ugeni basi sherehe itakuwa kubwa maana aunt yangu kwa kuandaa madikodiko hajawahi kutuangusha. Kufika eneo la tukio namuona anko na mrembo wa kimanga, kutizama simuoni aunt. Nikajiongeza akili zangu maana haya mambo ya ukoo, nikatambulishwa na kasi ya vinywaji ilivyokuwa inakuja sikupenda hata kujua aunt yangu mnayemjua yuko wapi.
Muziki, hebu tujikongoje na tufurahie maana maisha yafaa nini kama hatufurahi na kuwafanya wanaotuzunguka wafurahi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kha ...Anko bwana [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ujue mda mwingine ukiitwa kwenye sherehe za watu acha tabia yako ya kuja na wale wasiojulikana...
Mfano mm nimefika home namuuliza mpendwa wangu Nimemuuliza *WIFE,* fedha za matumizi zimebaki kiasi gani kuanzia asubuhi mpaka muda huu? amesema hakumbuki anashulika na mambo mengi ya familia hivyo mpaka amuulize "DADA wa KAZI"
Nimeamua nitampangia kazi nyingine! Hawezi kunijibu mm hivi.[emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji41] [emoji41] [emoji41]Ha hahahahah!!
Wale wasiojulikana sijui hata walitokea wapi maana wakati nakuja niliangalia mingo zote nikajua nikifika nitakukuta na toleo jipya kumbe hola, au aunty amekuwekea maspy?
Kwa hiyo majukumu ya 'wife' umempatia hozgeli? Anko mimi siwezi kukubishia
[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] Asante Obe..kikongwe oyeeeee[emoji108] [emoji108]
[emoji85] [emoji85] [emoji85]Ujue haya mambo yanahitaji utaalam wa kiwango cha mchepukiaji special kuzid wewe ...uzur wewe uliingia wadhunguu wanasema too late ...bwana mm niliwambia saa 10 jion kumbe yenyewe saa 7 mchana nikamalizana naye yule kiroho swafiii chapa ilaleee cha fasta ...ila na wewe unashtuka kinomaa kama mimosa pudica
Ofkozii kazi na majukumu housegirl japo kashapanda cheo yanamfitiii haswa tena kuna reserve wa nyumba ya jiranii ...wa kwako
[emoji91] [emoji91] [emoji91]...ha ahahahahah, kushtuka lazima tena ukiacha kustuka kama mimosa pudica kwa mpenzi wangu HM moyo wangu unafunguka kama ua rose
[emoji108] [emoji108] [emoji108]...ha ahahahahah, kushtuka lazima tena ukiacha kustuka kama mimosa pudica kwa mpenzi wangu HM moyo wangu unafunguka kama ua rose
Ha hahahahahaha, wewe naye, lol ! Umejuaje kuwa hakuna tofauti kati ya ngao ya maji na ngao ya kidonge
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...ha ahahahahah, kushtuka lazima tena ukiacha kustuka kama mimosa pudica kwa mpenzi wangu HM moyo wangu unafunguka kama ua rose kwa BH
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Husna muha...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa kwa kwaa...