...usifikiri ninamuongelea rais wa nchi wewe, nikiwa napiga vyombo furahiday akili yangu huwa iko makini sana na sikufichi mitihani yangu ingewekwa siku za Ijumaa nisingeweza kuwa narudiarudia madarasa.
namuongelea rais wangu wa club ya draft, mimi ni raia wake