Makapuku Forum

Kuna mmoja nilimdanganya nakwea pipa na kuonesha usilias aniamini nikaweka flight mode kale ka alama kanakoonesha ndege kwa simu najua alipopiga walimwambia nipo angan

Anko wewe tumia ile uliyoozoeaa


Okay, ha ahahahaaah, kumbe huyu ni tofauti na yule uliyempa anuani ya skype
 
Hivi binamu we ni mkristo woiiiii najuaga muislam ukiongea kuhusu surat za kiislam kama nimekosea mtanisamehe

....kijana wa Sunday skuli mimi na chuo nimesoma, sio kwa fimbo zile ila zimeniwezesha kupata ufahamu wa kupiga mpunga bila kijiko.

Nyumba yangu ya ibada imebadilishwa badilishwa sana, mara bar kutegemea na muandamo wa mwezi

 
Anko akiwa anawashwawashwa kuitafuta furahi deii ambayo anaamini ndo siku muhimu kuliko zote make ndo siku anayopewa self service ila hajasahau kukusalimia wewe kapuku na mm nikiwepo na kama usku hukuzipata salamu zake mama mchungaji ataziletaa kwa niaba yake make now wapo wanapasha kama ....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…