Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,160
- 72,200
Hapo sawa, halafu ukikuta nabebika na Bebe kwenye mojawapo ya thread piga kimyaBasi sijitoi tena
Naona umenishikia bango leo
Haya yameisha Ex wangu...uwe na wakti mwema humu jamvini...bu...
kausha banaa
mmmh ngoja nimchunguze...bu...
Hapo sawa, halafu ukikuta nabebika na Bebe kwenye mojawapo ya thread piga kimyasio unaanza kuleta mambo ya Ex Ex wangu huyu...mara sijui nna watoto wake n.k..ssssshhhhhh!!! usije ukanipeperushia kipepeo changu bure
ndio hivyo mkuu huyu mwanamke ni King'ang'anizi balaa
Hapo sawa, halafu ukikuta nabebika na Bebe kwenye mojawapo ya thread piga kimyasio unaanza kuleta mambo ya Ex Ex wangu huyu...mara sijui nna watoto wake n.k..ssssshhhhhh!!! usije ukanipeperushia kipepeo changu bure
Kumbe amewahi kukupeperushia ndege wakondio hivyo mkuu huyu mwanamke ni King'ang'anizi balaa
eee bora umelitambua hilo nitaishi kwa raha sasamkuu hapo ndo nimekuelewa saasakumbe ulikuwa unalipiza kisasi eti!Mara paap nimekusomaaaa sikuchokozi tenaaaa
Poa mkuuHaya yameisha Ex wangu...uwe na wakti mwema humu jamvini
Jana kidogo anipeperushie nilikuwa nabebika na 'mtoto mkali' akaanza kuleta fitnaKumbe amewahi kukupeperushia ndege wako
usijali salamu zimefika kwa KhantwePoa mkuumsalimie khantwe ukoo
Pole mkuu bora umemwambia mapema na amesema hatarudiaJana kidogo anipeperushie nilikuwa nabebika na 'mtoto mkali' akaanza kuleta fitna
Yap bora ameelewaPole mkuu bora umemwambia mapema na amesema hatarudia
Sawa mi nikutakie kula bata na watoto wazuriYap bora ameelewa
Haina noma mkuuSawa mi nikutakie kula bata na watoto wazuri
Kumbe amewahi kukupeperushia ndege wako
Sawa mkuuHaina noma mkuu
Basi mkuu hili limepitami nae nimezidi uchokozi loh!
eee bora umelitambua hilo nitaishi kwa raha sasa
Jana kidogo anipeperushie nilikuwa nabebika na 'mtoto mkali' akaanza kuleta fitna