Uliyemkataaa
Kumbee huyo kuku wa kuchorwa mleni tu me simtaki...kwani ile picha umeitupa? Ndo tumemla leo, jaaaaamani kwa hiyo utafanyaje sana na negative huna.
Aubuhi tunaamka na mchemsho wa sato na viazi
AmeeniiikAsubuhi njema kwa MF wote katika hili jukwaa na Mungu awatangulie katika kila mnachofanya katika siku ya leo
Nawe pia mkuuAsubuhi njema kwa MF wote katika hili jukwaa na Mungu awatangulie katika kila mnachofanya katika siku ya leo