Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Nko poa hbr ya kuadimikaYes my shem lake
Uhali gani
Leo katngwa mno mama anaweza leta kwa kuchelewaMwambie mkwe wangu alete magazeti
Hata mi nayasubiria.Leo katngwa mno mama anaweza leta kwa kuchelewa
Huyu siku hizi kapoteza sifa zake kwangu ....1978 - Mrisho Mpoto, mwanamuziki kutoka Tanzania anazaliwa
Mtembea peku
Mwambie pole sana.Leo katngwa mno mama anaweza leta kwa kuchelewa
PoleHata mi nayasubiria.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Mwambie pole sana.
Maana siku bila Font ferd nayo inawezekana!!
Hi ubarikiweJust wanted to say hi..
[emoji120] [emoji120] [emoji7] [emoji7]LEO KATIKA HISTORIA
Mpe pole sana siku hazufananiLeo katngwa mno mama anaweza leta kwa kuchelewa
Ni poa tu, tupo tunaendelea kupambanaNko poa hbr ya kuadimika
Mambokasema ananichukuwa lini"
"kesho Jumapili mapemaa anakuja kukuchukuwa"
"lakini mama... Nitawezaje kuishi na mwanaume na wakati hatujafunga ndoa mama"
"najua hilo mwanangu, lakini dada yako zainabu keshajua hivyo ukiendelea kukaa hapa, atazidi kukudhuru, ni bora ukakae na huyo kijana huku mkiendelea kusubiri ndoa yenu"
"mamaaaa, vijana wa sasa hivi... Sidhani kama ataniacha mama"
"zaituni mwanangu... Huyo kijana keshakula kiapo mbele yangu kuwa, Hatokaa akuguse mpaka afunge ndoa na wewe"
"kweli mama"
"kweli, labda abadirike tu lakini kala kiapo juu yako mbele yangu namuona na kumsikia"
Zaituni alijiskia raha sana mana hizi bahati za kuolewa alijua zimekwisha toka alipoupata upofu, lakini kumbe bado zinaendelea kuja,...
"afu mama, huyo kijana anafanya kazi gani"
"ni muuza viazi vya chipsi, anatembeza kwa mkokoteni"
"sawa mama, mwambie aje anichukuwe nimeshakubali kiwa mke wake"
"tena kijana mwenyewe hensamu huyo, yaani kakosa pesa, lakini kazuri"
"mamaaaa usiniambie hivyo mama, nitalia bure, mana natamani kumuona mume wangu"
Haitakaa itokee. Shinzo Abe mwenyewe amesema wamechoka na vitisho vya makombora ya toto tundu wa North Korea na anataka kuirudisha Japan katika harakati za kijeshi rasmi. Kulingana na uwezo wao wa kiteknolojia, hawatashindwa kuwa na mabomu ya nyuklia wakitaka.