Muziki wa Mhisani
Nimerejea tena na nimekuja kwa sababu moja kubwa, udhamini umefikia kiwango cha uhisani, yaani
makaveli10 kadhamini magazeti na muziki. Hii ni level nyingine yaani katoka kuwa pedeshee hadi Bill Gates.
Na wimbo aliouhisani ni Mockingbird, wimbo mzuri kabisa kusikiza na kama unapenda mashairi yaliyopangika bila zile fakafaka za vijana nyie basi huu ndo utaupenda. Ukizitaka zile sikiza The Storm