Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Sio jamanWewe ndio empire?
Sio jamanWewe ndio empire?
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Nashukuru sana pia kuwaona waheshimiwa wewe na Shululu
WaacheHazipo [emoji134] [emoji134]
[emoji134] [emoji134] [emoji134]Bwashee anatumbo tumbo na shirt lake na suruali yake ya kitambaa [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23]Siwezi huko naanzaje tena mwanamke ana mdomo ila sishangai nyakyusa girl
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Siwezi huko naanzaje tena mwanamke ana mdomo ila sishangai nyakyusa girl
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji113] [emoji113] [emoji113]Utani gani huo kila siku na tumeshawaelewesha huo sio utani sasa jamaan baba d anajing'ata tu kila mara sababu ya hizi mambo mjue
NdioWewe ndio empire?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio
Shemela unanichosha sana[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji113] [emoji113] [emoji113]
Nzuri kabisa tetramelyzSafi tu Shululu, za siku mbili tatu
Mnajijua na midomo yenu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kweli shem mwenyewe si unaona[emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kumbe hukuniita.??! Mppo wazima wewe na mchoma mkaa wako??
Shemela leo hujasali aiseeShemela unanichosha sana
Mambo unayopenda kusikia mfyuuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ndo jibu la sasa hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tupo tumejaa tele,Nilikuita nikusalimie tu tetra mchoma mkaa wangu mzima sana wewe na moneytalk mnaendeleaje
NajioneaKweli shem mwenyewe si unaona
Kusali kwangu na kumsema sema baba d wangu inahusu ninii jaman mtu katoka jf hivi shemela nikuulize Lee Empire unamdai jaman ebu niambie ujueShemela leo hujasali aisee