Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Kushukuru shemela[emoji120] [emoji120] [emoji120]Nzuri sana nipo nimerudi, naye atakuja muda si mrefu
Kushukuru shemela[emoji120] [emoji120] [emoji120]Nzuri sana nipo nimerudi, naye atakuja muda si mrefu
Utani gani huo kila siku na tumeshawaelewesha huo sio utani sasa jamaan baba d anajing'ata tu kila mara sababu ya hizi mambo mjueNisipomtania shemela wangu hapa KF, nimtanie nani sasa
Nilimpa mimi ndio yaan mpaka najuta sasa jamaanUlimpa weee kumbe
Ukome[emoji108]Nilimpa mimi ndio yaan mpaka najuta sasa jamaan
Naaam, nimekuja kukusikilizaTetraaaaaaaaa
Nimekoma mama asante sana mbarikiwe sanaUkome[emoji108]
Nakusalimia tu mimiNaaam, nimekuja kukusikiliza
[emoji23] [emoji23] ndio bwashee wake tumo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimevuta picha ya bwashee
[emoji40] mdomo komaWooooooooooozaaaaaaaaa
Nashukuru sana pia kuwaona waheshimiwa wewe na ShululuKushukuru shemela[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Hahaha kucha za miguuni zipo kweli?Utani gani huo kila siku na tumeshawaelewesha huo sio utani sasa jamaan baba d anajing'ata tu kila mara sababu ya hizi mambo mjue
Bwashee anatumbo tumbo na shirt lake na suruali yake ya kitambaa [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23] [emoji23] ndio bwashee wake tumo
Kwa hiyo ukitaka kumnyanganya si unaweza ?Nilimpa mimi ndio yaan mpaka najuta sasa jamaan
Ahahahhahah[emoji40] mdomo koma
Hazipo [emoji134] [emoji134]Hahaha kucha za miguuni zipo kweli?
Huyo huyoBwashee anatumbo tumbo na shirt lake na suruali yake ya kitambaa [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kumbe hukuniita.??! Mppo wazima wewe na mchoma mkaa wako??Nakusalimia tu mimi
Siwezi huko naanzaje tena mwanamke ana mdomo ila sishangai nyakyusa girlKwa hiyo ukitaka kumnyanganya si unaweza ?
Wewe ndio empire?Huyo huyo
Nilikuita nikusalimie tu tetra mchoma mkaa wangu mzima sana wewe na moneytalk mnaendeleajeKumbe hukuniita.??! Mppo wazima wewe na mchoma mkaa wako??