Asante ankoMuziki: Juma La Kicongo
Bamitambo banatestiwa dii, yeah maana mutu ana makuta hadi papa Lee empire akakimbia jiji. Si munamujua mujomba yangu ambaye imebidi ajisalimishe nje ya mji kutokana na timbwiri la aunty yangu. Nakusalimia sana Kapuku mwenzangu na kukwambia kwamba jana ilikuwa siku si nzui sana upande wangu maana Mwalimu Nyerere alikufa na huo mwaka ndo nilikuwa namaliz shule hatukufanya graduation hivyo sina hata picha moja ya ukumbusho. Siku serikali ikianzisha msako wa wasio na picha za graduation, nitatumbuliwa maana hii ya umri ninaweza kuikwepa.
Muziki sasa, wiki hii yote tuvumiliane tu maana nitapandisha sana mamiziki ya Kicongo na kama unategemea kutakuwa na details zozote za unga wa Kongo sahau maana hapa muziki tu hamu zako hazitatatuliwa hapa.\
Tuwe na wiki njema Makapuku wenzangu na ninawashukuru wote ambao wakati natest mitambo mmeona kitu kisichojulikana. Nawapenda sana
[emoji3] [emoji3]
Nmeiona [emoji120] [emoji120]...nishajaribu mama, umeona ilivyotulia?
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kuwa serious mkuu mm shunie shem langu siwezi jifananisha na bro kwake make heshima wanasema ifate mkondo wake[emoji23] [emoji23] sitaki mambo ya hainaga ushemeji
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Anakuja dakika chache[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] namsubiri
Naona nyayo Zake tuAnakuja dakika chache
Nimekuja ujue halaf hili swala nilishasema ile siku ni mwisho mbona hawaelewi hawa watuKuwa serious mkuu mm shunie shem langu siwezi jifananisha na bro kwake make heshima wanasema ifate mkondo wake[emoji23] [emoji23] sitaki mambo ya hainaga ushemeji
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe shem shunie ngoja aje labda
Binamu bila kumuongelea anko wako husikii raha eenhMuziki: Juma La Kicongo
Bamitambo banatestiwa dii, yeah maana mutu ana makuta hadi papa Lee empire akakimbia jiji. Si munamujua mujomba yangu ambaye imebidi ajisalimishe nje ya mji kutokana na timbwiri la aunty yangu. Nakusalimia sana Kapuku mwenzangu na kukwambia kwamba jana ilikuwa siku si nzui sana upande wangu maana Mwalimu Nyerere alikufa na huo mwaka ndo nilikuwa namaliz shule hatukufanya graduation hivyo sina hata picha moja ya ukumbusho. Siku serikali ikianzisha msako wa wasio na picha za graduation, nitatumbuliwa maana hii ya umri ninaweza kuikwepa.
Muziki sasa, wiki hii yote tuvumiliane tu maana nitapandisha sana mamiziki ya Kicongo na kama unategemea kutakuwa na details zozote za unga wa Kongo sahau maana hapa muziki tu hamu zako hazitatatuliwa hapa.\
Tuwe na wiki njema Makapuku wenzangu na ninawashukuru wote ambao wakati natest mitambo mmeona kitu kisichojulikana. Nawapenda sana
Ww nae kuongea taratibu huweziUjue shemela nyie watu wazima mmefanya mpaka nimeitwa huko nije kapuku hivi kwa niniii hamuelewiiiii jaman sio baba d huyo ebu niambieni mnamdai Mr wangu niwalipe au kuna kitu gani kuhusu baba dHawezi kumuita mme mwee me shemeji yake mpoje jamaan
Bora umekuja make mpaka amani inakosa isije bro aliacha deni hukuUjue shemela nyie watu wazima mmefanya mpaka nimeitwa huko nije kapuku hivi kwa niniii hamuelewiiiii jaman sio baba d huyo ebu niambieni mnamdai Mr wangu niwalipe au kuna kitu gani kuhusu baba dHawezi kumuita mme mwee me shemeji yake mpoje jamaan
Niongee veep taratibu mbona mpo hivyo kila siku hivi ebu kuweni watu wazima mna wajukuu nyie jamaanWw nae kuongea taratibu huwezi
Waseme walipwe niko nalala usiku mwemaBora umekuja make mpaka amani inakosa isije bro aliacha deni huku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Binamu bila kumuongelea anko wako husikii raha eenh
Shem sorry ebhu enjoy usiku mwemaNimekuja ujue halaf hili swala nilishasema ile siku ni mwisho mbona hawaelewi hawa watu
Vibabu gagula au vibibi?Niongee veep taratibu mbona mpo hivyo kila siku hivi ebu kuweni watu wazima mna wajukuu nyie jamaan
Vibibi gagula na vibabu gagula wanachosha sana hawa watu jamaanVibabu gagula au vibibi?
[emoji4][emoji4][emoji4]Shem sorry ebhu enjoy usiku mwema
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Vibibi gagula na vibabu gagula wanachosha sana hawa watu jamaan
Binamu ana nini jamaan[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]