makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,443
- 108,490
Unayosema ni kweli lakin japo nakuona unaropoka kama chizi..[emoji23] [emoji23]Jichunguze akilini kwako nn kinakutatiza then ujaribu kukipotezea
Ukiwa na msongo Wa mawazo inaweza kupelekea ukakosa usingizi
Na hatimaye ubongo wako utachoka coz utakuwa hauna muda Wa kupumzika
Na hapo sasa ndipo utakapoanza kuongea pumba[emoji23] [emoji23]
Na kuanza kujiuliza"kulikoni"
Usingizi ni muhimu kwa afya yako
Nenda kalale mkuuTumzoee tuu.. mie hanipi tabu ndio miez yake hii, fuse zinakata kidogo[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23]Ahsante mpendwa...
Goma la obe
Mwanangu mwenyewe mwee
Sawa mwanangu mwenyewe mwee..Nenda kalale mkuu
Utaamka na akili mpya[emoji4]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]U make me smile[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Nijifunze Mara ngapi?[emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Jifunze kusema uongo basi
Si tuna pa kuanzia??Litakuwa jambo poa..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mnaanza kuumbuana sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unayosema ni kweli lakin japo nakuona unaropoka kama chizi..[emoji23] [emoji23]
Ajifunze mara ngapi.. ni muongo huyo kufuru..[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Jifunze kusema uongo basi
Papo..Si tuna pa kuanzia??
Matatizo ya kukosa usingizi yanamsumbua[emoji1]Chief umesemaje apo ?
Mi mwenyewe natamani kulijuaNatamani kujua balaa lake
Sasa nimshike nan au nimuache nanMatatizo ya kukosa usingizi yanamsumbua[emoji1]
Mpotezee tu mshikaji wanguu
[emoji144][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sikujua
Ebhu nitonye mshikajii [emoji4]Mi mwenyewe natamani kulijua
Hongereni aseeEehh.. si Tunacheza basketball
[emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji125] [emoji125]
Ila mshikaji mnapendeana sana na makaHongereni asee
Hv ni kweli?Ahsante mwanangu mwenyewe mwee
Mmmh!!Sikujua ni jina lake la unyagoni husna muba..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]