makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,011
- 104,572
Sibagui, sichagui ataenistiri kwenye uchupa simjui.. muhimu ni uzuri wa sura huo ni ugonjwa wangu, usafi muhimu zaid.. halafu lazima awe class flani, siunajua kila mtu huwa na class yake..Unapenda vyura eeenh
Jirani yangu huyu.. tuko pua na mdomoKwani mnaishi wote
Teh teh teh.. wanawake wote hawa mie nikatumie geisha.. mie ni masikini wa pesa ila sio papuchi.. kukumbatia mto ni hiari yangu.. mara kwa mara napata mialiko ya kuikumbatia mizigo.. tena mizigo hasa(in kipozeoz voice)
...najua sana mnanipenda na siku mlipokuja kwenye birthday yangu nilifurahi sana. nikawapiga picha wewe umekaa kwa mbalia na anko kwenye nguo zake za kipedeshee
WoyoooooooooooooooooSibagui, sichagui ataenistiri kwenye uchupa simjui.. muhimu ni uzuri wa sura huo ni ugonjwa wangu, usafi muhimu zaid.. halafu lazima awe class flani, siunajua kila mtu huwa na class yake..
Wacha weeeeh sasa mbona shemela anakaa kinyerezi na kibahaJirani yangu huyu.. tuko pua na mdomo
Binamu sijanywa pombe niamini
...mimi najua hujanywa kabisa, mweleweshe shululu
Picha: Kama hajalewa aunty yangu hawezi kufanya hivi ana aibu sana
cc BlessedHope
Unapenda vyura eeenh
Teh teh teh.. mahaba niue hayo.. mtu na mtuwe.. shunie na lee empire wake..Natamba mie maka namtambia Lee wangu
Wanangu wote piga kelele...(singeliz tone)Woyooooooooooooooooo
Kote huko nina vibanda.. kinyerez na kibaha ni majirani.. kasoro kigamboni tuu..Wacha weeeeh sasa mbona shemela anakaa kinyerezi na kibaha
Anapenda volkswagen bito....., Maka anapenda sana ila anko wangu kazidi kupenda chura yaani yeye anapenda mgongo wa kobe
Nimejikuta nacheka sana mfyuu zako binamu baba d hajafanana na huyo.., Maka anapenda sana ila anko wangu kazidi kupenda chura yaani yeye anapenda mgongo wa kobe
WooooooooozaaaaaaaTeh teh teh.. mahaba niue hayo.. mtu na mtuwe.. shunie na lee empire wake..
Woyooooo woyooooooWanangu wote piga kelele...(singeliz tone)
KumbeeeeeKote huko nina vibanda.. kinyerez na kibaha ni majirani.. kasoro kigamboni tuu..
Nimejikuta nacheka sana mfyuu zako binamu baba d hajafanana na huyo
Hahahha...mimi najua hujanywa kabisa, mweleweshe shululu
Picha: Kama hajalewa aunty yangu hawezi kufanya hivi ana aibu sana
cc BlessedHope