...ngoja nikuchoree nilivyo, kwanza nina kichwa kinachopendeza kipara, shingo nene kidogo, mrefu 5.10ft, tumbo huwa linabadilikabadilika ila mara nyingi ni 8pack halafu ni mweusi, macho mekundu. Sivuti sigara wala sinywi pombe, napenda K tatu maana Nyerere alihimiza sana tuzijue.
Nimesahau age kukuambia, age yangu siruhusiwi kugombea tena UVCCM au BAVICHA sasa nipo katikati hapo.
Afu napenda muziki