Makapuku Forum

Umalaya huo
 
Nilikimbia shule, sijui matumizi ya t kubwa na ndogo..

Hiv nikiandika t na T vinasomeka tofauti eehh..[emoji23] [emoji23] [emoji23] au ndio mahaba tena yanakupeleka speed of light..
Kama kuna mwalimu anisaidie, mwenyewe nimesoma memkwa....

Najua majina ya watu huanza na herufi kubwa.... Ni bora ukosee langu kuliko la mume wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…