Makapuku Forum

Haitamwagika shem itakuwa siri yangu ujue yaan nitakuwa mpole sitamwonyeshea tofauti yeyote we screenshot tu unitumie hivi kwa nini me siku hanipi password jaman [emoji134] nipite tu kuangalia
[emoji15] [emoji15]
 
Hata mwenzie Samatta nina wasiwasi nae.

...lakini seems Samatta anawatu wazuri wanamshauri kuhusu maisha yake ya mpira, Congo alikuwa anatengeneza hela nzuri na sasa anatengeneza nzuri zaidi na bado hatujamsikia akiwadropped kwenye kikosi na skendo za ajabu, kwangu namuona anaishi kiprofessional kabisa na si ajabu muda si mrefu tukaanza kumuona kwenye ligi kubwa kubwa dunia ya soka


Muangalie hapa, utagundua kuwa anajua anafanya nini.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…