....sure! Na nimesahau mengi sana tu, asante kwa kunikumbusha, sasa nimkumbushe tu kuwa kwa kuwa yeye hakuwepo kuna mengi yameendelea, mfano, nilinunua saa mpya na kwa sasa nina simu mpya Samsung Galaxy, mengine atayaona akitumia muda wake humu japo kidogo