Makapuku Forum

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yakwepe hivyo hivyo maka sio mazuri ujue
Raha mkulane kiukweli ukweli au sio, sio bby bby, kumbe hata jina lake halisi hujui..[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Shunie umenikosha wew, na kunisuuza kabsa, kunywa soda kubwa lile nakuja kulipa.
 
Safu, naipenda hii..

Mnanidai buku 2, buku kwa kila mmoja..

Jumla buku nne kasoro buku iwe buku 5
 
Katika watu niliowamisi ni mwanangu werrason
 
Nawe pia, mpendwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…