Aggyjay jamani pole, umemtesa sana kaka Emmy hadi aliamua kuacha kapuku forum! Ili bidi niongee naye chemba ndipo akarudi, kiukweli aliumia sana kukukosa, najua nawe uliumia pia, so nakuomba muombane msamaha yaishe wapendwa, wote mlikosea msiwe na mioyo migumu jamani let love lead