Hahaha mtaani vilio aiseeBro eti uko tayari tukusaidie kuandamana maana nimesikia huyu mtaani vijana wanalalamika eti Basata wamewafanyia ukatili wa kutisha kabisa members wa chaputa.
Cc EMMYGUY
HahahahahHahahahaaa.... umenifanya nicheke kwa sauti.
Mambo mengine vipi?Safi tu kaka
Mtaani vijana wanalia mkuu.Hahaha mtaani vilio aisee
Kuni bado hazijaisha.
Fresh kabisa. Hofu kwakoMambo mengine vipi?
Hawajatenda haki au?Mtaani vijana wanalia mkuu.
Basata wana roho mbaya sana.
Mkuu karibu tusaidiane kuokota kuni basi....Haya. ...chochea mpaka kieleweke
Wanadai jamaa wamefanya ukatili mkubwa sana.Hawajatenda haki au?
Karibu.
Mkuu karibu tusaidiane kuokota kuni basi....
Usiwe na shaka mkuu hata ukiokota kabomu ka nuclear wewe lete tu sisi shida yetu ni kuona moto unawaka.Hakuna shida. ..Niko msituni naziokota. ...
Nikikosa kuni ntaleta makaa ya mawe. ....
Hahahahaha churaaaaWanadai jamaa wamefanya ukatili mkubwa sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaha churaaaa
Mbona mimi naona mti.!!!
Siyo ulichofikiri......
.....................
Ngoja nikipata bundle nitaitupia hapa.Usilie wewe. EMMYGUY ndo anatakiwa alie sababu hajamuona chura