Kama yuko uyole basi ajitahidi kwa kesho aje huku tukuyu chuo cha magereza nitakuwepo kuangalia baadhi ya vivutio vya asili kama vile daraja la mungu kijungu na ndanyela
Siwezi kumpoteza nitaenda kumsubiri Kkk ili ndo nimlete huku ili tukimaliza kutembelea nimpeleke ikuti akale mananasi baada ya hapo ndo tuanze safari ya kuelekea milima kwetu