Nikisoma ulichoandika lazima nismile km sio kucheka kabisaa
Mpendwa asantee ujue mi napendA sana ragae
Ukismile ndo furaha yangu pia. Reggae hakuna asiyeipenda.
Mimi napenda na yale yanayohusiana na reggae 😀
Binamu santeeeMuziki: Furahiday of What's and How's
Leo ni Ijumaa, nakujulisha tu kama ulikuwa hujui na baada ya kukujulisha basi nakusalimia kwa salamu kiwango cha bombadia, u khali gani Kapuku muheshimika. Upande wangu niko poa kabisa na ilivyo kawaida I take furahiday so easy that I only open my mouth to sip our best local beer. Unataka kuendeleza jamii unayoishi, usifanye mengi sana, nunua bidhaa zinazotengenezwa kwenye jamii yako, ofkoz lazima ziwe na ubora.
Kufikia matokeo yoyote, iwe kazini au kwenye kujamiiana ni lazima ujiulize maswali mawili, what and how, too B-A-D wengi tumekuwa tukijiuliza swali la 'what' pekee na kusahau swali la 'how'. Unataka nini, sawa, utakipataje unachokitaka ndo la msingi kujiuliza. Kufikia matokeo unayotaka ukishajiuliza masuala hayo mawili basi malengo yako yahusishe; kusaka maarifa, kuwa team player, kutia umakini, kusaka furaha na zaidi kushinda ndo utapata matokeo.
Muziki sasa; nikushukuru shululu kwa magaeti, asante lee empire kwa kuirahisisha hesabu, na muhimu asante wangu mpendwa husna muba kwa kuuhisha kipengele cha historia, asante sana wadau Makapuku wote mnaoendelea kulifanya jukwaa hili kuwa sehemu bora kabisa ya kutembelea na kuweka makazi.
Furahia Furahiday kwa kununua bidhaa za ndani (simaanisha ndani kabla ya kukutana na utupu namaanisha locally made products
Leo mmeshinda wapi lakiniBinamu santeee
Mke mwee jaman unaendeleaje nilikua huko mtaani moneytalk anakusalimiaLeo mmeshinda wapi lakini
Asante mdau.Muziki: Furahiday of What's and How's
Leo ni Ijumaa, nakujulisha tu kama ulikuwa hujui na baada ya kukujulisha basi nakusalimia kwa salamu kiwango cha bombadia, u khali gani Kapuku muheshimika. Upande wangu niko poa kabisa na ilivyo kawaida I take furahiday so easy that I only open my mouth to sip our best local beer. Unataka kuendeleza jamii unayoishi, usifanye mengi sana, nunua bidhaa zinazotengenezwa kwenye jamii yako, ofkoz lazima ziwe na ubora.
Kufikia matokeo yoyote, iwe kazini au kwenye kujamiiana ni lazima ujiulize maswali mawili, what and how, too B-A-D wengi tumekuwa tukijiuliza swali la 'what' pekee na kusahau swali la 'how'. Unataka nini, sawa, utakipataje unachokitaka ndo la msingi kujiuliza. Kufikia matokeo unayotaka ukishajiuliza masuala hayo mawili basi malengo yako yahusishe; kusaka maarifa, kuwa team player, kutia umakini, kusaka furaha na zaidi kushinda ndo utapata matokeo.
Muziki sasa; nikushukuru shululu kwa magaeti, asante lee empire kwa kuirahisisha hesabu, na muhimu asante wangu mpendwa husna muba kwa kuuhisha kipengele cha historia, asante sana wadau Makapuku wote mnaoendelea kulifanya jukwaa hili kuwa sehemu bora kabisa ya kutembelea na kuweka makazi.
Furahia Furahiday kwa kununua bidhaa za ndani (simaanisha ndani kabla ya kukutana na utupu namaanisha locally made products
Siku hizi wanakapuku mmeshikwa na ububu mnapita mnagonga like then mnanyuti
Mm cjambo,huyo Moneytalk ndo kagoma kuja kwetu eeeehMke mwee jaman unaendeleaje nilikua huko mtaani moneytalk anakusalimia
Nzuri kabisa mama watoto wangu, nina karibia nyumbaniHbr ya jion baba wawili
Shemela kulikoni
Za jioni shemela wanguMke mwee jaman unaendeleaje nilikua huko mtaani moneytalk anakusalimia
Hapana aliniambia nimlete ujue halaf sijui hapajui huku jana anasema hajaingia alikua busy na babe wakeMm cjambo,huyo Moneytalk ndo kagoma kuja kwetu eeeeh
Shemela mtu na mpendwa wake jamaan wananifurahisha sanaShemela kulikoni
Safi shemela wangu za wewe apoZa jioni shemela wangu
Okey karibu sanaNzuri kabisa mama watoto wangu, nina karibia nyumbani
Ucnambie wamerudiana,inabid kumshika mkono na kumletaHapana aliniambia nimlete ujue halaf sijui hapajui huku jana anasema hajaingia alikua busy na babe wake
Sio yuleUcnambie wamerudiana,inabid kumshika mkono na kumleta
Nini tena shemela