Narudi nyumbaniiiii oooh eeenh narudia Tanzania [emoji449][emoji449][emoji450][emoji450]mbele kwa mbeleee woiii binamu umenikumbusha Dr Remmy Mungu amlaze mahali pema peponi ameen...mdau, muziki ni tiba ya mengi, Dr Remmy kaimba kuwa muziki ni maisha, utajiita mfiadini lakini lazima kuna muziki kwenye dini.
Na tusiojua kuongea wala kuandika, muziki hutusemea na kutuleta pamoja.
Unapenda muziki wa aina ipi? (genre)
Hahahaaaaaaaaaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaha, napenda sana rege wanaita RAGGAE kizungu (kama sijakosea)...mdau, muziki ni tiba ya mengi, Dr Remmy kaimba kuwa muziki ni maisha, utajiita mfiadini lakini lazima kuna muziki kwenye dini.
Na tusiojua kuongea wala kuandika, muziki hutusemea na kutuleta pamoja.
Unapenda muziki wa aina ipi? (genre)
Hahaha, napenda sana rege wanaita RAGGAE kizungu (kama sijakosea)
(nikiwa na head phones au redio inayochuja muziki vizuri na kutoa mdundo murua kabisa unaopenya vizuri masikioni)
Nikisikiliza wimbo wowote hata kama sio rege alimradi niwe naupenda huwa nasahau kila kitu na kuuacha moyo wangu ufurahi na kuyaignore masumbufu yooote ya dunia hii.
Haina shida tutavuta wote unacheza na mahabaMumeo anaivuta vizuriii tu mpikie tu
[emoji134] [emoji134] [emoji134]Haha hahaaaa asante anti yangu we kweli unanipenda yaani haujawahi kuniangusha kabisaa
Mwambie asijali mpendwa wangu akikubali nitamnunulia tu
Wala hujakoseaKyela tukuyu
SawaMkule wenyewe msiwape watoto
[emoji18] [emoji18] [emoji18]Mbona me nimeona
PoaKumbeeee haya kuleniii
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Binamu hapo kwenye hizo mambo za side chick ndio umeharibu na mambo ya kupewa hela upeleke huko umeharibu salaam sipeleki mama mchuchu akija utamwambiq
AiseeeMoshi- jirani na ule mteremko wa kwa sadalla
NamuonaMpendwa Wa Mimi huyoo[emoji4]