Hapo si kucheka huko uliko shemelaNilikutag baba d yaan anaongea kwa kujiamini kabisa shunie dume nimebaki nacheka tu yule mtu akamwambia kama dume au vipii me napenda avatar zake tu jinsia yake atajua nayo mwenyewe
Aje mara ngapiiii hivi upoje shemelaAisee, hivi lushoto unaenda lini
Sasa inakuwaje wewe hujui kama anapenda gakhawaMwambieni sasa awawekee
Acha nikose shemela sina ninachotafuta huko pm kama baba d nimeshampata natafuta nini tena jamaan nyie endeleeni na pm zenu tu [emoji137] [emoji137][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Aisee, unakosa mengi huko pm
Nahisi hata ukawa hela huko pm shunie hawezi kuja...
[emoji3][emoji3][emoji3]
Zimefika TMsalimie sana...
Safi shemela za weweShemela za jioni shemela wangu
Sanaa ndani ya jumba la Sanaa, aisee
Sanaaaa ipiiiii hakuna bongo movie hapaWoyoyoooooooooooo
Nimeshajizoelea mie shemela mambo za humuHapo si kucheka huko uliko shemela
Nzuri kabisa shemelaSafi shemela za wewe
Nilijua anaongelea kahawa hiyo ujue ya mabarabaraniSasa inakuwaje wewe hujui kama anapenda gakhawa
KaribuuuuuNzuri kabisa shemela
Ila Sanaa inalipa sana shemelaSanaaaa ipiiiii hakuna bongo movie hapa
Burudani toshaNimeshajizoelea mie shemela mambo za humu
Asante shemelaKaribuuuuu
We shemela kaa hapo hapo na sanaa yako sie tuache tuendelee kujilia mema ya nchiIla Sanaa inalipa sana shemela
[emoji3] [emoji3] [emoji3] chezea pesa weweNahisi hata ukawa hela huko pm shunie hawezi kuja...
[emoji3][emoji3][emoji3]
Shemela hunijui wewe sifungui weka hata mahela yako hapo[emoji3] [emoji3] [emoji3] chezea pesa wewe
Ukifungua tu, kitu paaa kwa malkiaShemela hunijui wewe sifungui weka hata mahela yako hapo
Yaan swala la kufungua pm shemela haitakuja kutokea kabisa yaanUkifungua tu, kitu paaa kwa malkia
AminaZimefika T