Hii ndio busara na ameelewa hoja yangu[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]Aliekwambia tunashindana ni nani
Sisi humu tunachat muda wowote ambao tuna nafasi ya kufanya hivyo
Hatushindani kupost humu
Leo kapitiwa na usingizi
scratch my back & i'll scratch yours
Uoga kenekufa [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134]Wacha uoga mtoto wa kiume [emoji16][emoji16][emoji16]