Ee Mungu wangu nalia mchana lakini hujibu na wakati wa usiku lakini sipati raha
Na wewe u mtakatifu uketiye juu ya sifa za Israel
Baba zetu walikutumaini wewe walitumaini na wewe ukawaokoa
Walikulilia wewe wakaokoka walikutumaini wasiaibike
ZABURI 22:2-5
MUWE NA ASUBUHI ILIYO NJEMA KWENU MBARIKIWE SANA